The Circle Logo

tHE Circle inathamini mchango mkubwa wa kila mteja, ikiwa na dhana nzima ya kuhakikisha mteja anapata huduma safi iliyo bora. Ili kuweza kutimiza malengo haya, Uongozi inaomba dakika zako chache kutupatia maoni yako kwa uwazi yakilenga kupima huduma zetu kwa lengo la kuboresha.

"Maoni yako ni muhimu kwetu. Tunayathamini na kuyatumia kuboresha huduma zetu kila siku."

Ubora na Aina za Vyakula

Je unazungumziaje kuhusu ubora wa vyakula?
Je unaridhika na aina za vyakula vinavyopatikana?

Huduma kwa Wateja

Je unazungumziaje huduma inayotolewa na wafanyakazi?
Je unazungumziaje uharaka (muda) wa kupatiwa huduma?

Usafi wa Mazingira na Vyombo

Je unazungumziaje kuhusu usafi wa vyooni?
Je unazungumziaje kuhusu usafi wa eneo la Bustani (Garden)?
Je unazungumziaje usafi wa eneo la ndani (Lounge) na Pergola?
Je unazungumziaje usafi wa vyombo vya chakula?

Huduma Bwawa la Kuogelea

Je unazungumziaje juu ya suala la usafi wa bwawa la kuogelea?
Je unazungumziaje usafi wa eneo linalozunguka bwawa la kuogelea?

Maoni Kwa Ujumla